Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika mandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online.
Mambo makubwa na mazuri utayapata ndani ya Fabievents.
• Bajeti :- Inarahisisha kuanda bajeti ya sherehe huna haja yakumiza kichwa na mahesabu au kutumia kikokotozi.
• Ujumbe :- Automated bulksms inawakumbusha wajumbe vikao na michango, ujumbe unaenda na jina la mpokeaji. Pia nakulingana na matumizi yako marangapi kwa wiki.
• Ahadi :- Inasaidia kuweka taarifa za wote pamoja na kila mjumbe kiasi gani alichoahidi, alicholipa na balance yake.
• Kadi :- Inasaidia kujua nani nan ani anastahili kupewa kadi ya single au double ama hana sifa kulingana na mchango wake aliotoa.
• Watoa huduma za sherehe :- kama MC,kumbi, mapambo, keki, chakula, picha na video wote wanaruhusiwa kujitangaza free kabisa hakuna makato wala percent.

Angalizo:
• Huduma zote ni free kasoro bulksms ndo utalipia packages zipo ndani baada ya kujisajili
• Hakuna commission kwa kunganishwa na mteja yoyote yule ndani ya fabievents, ukipata mteja mnamalizana juu kwa juu