Wedding Bulksms ni ( Offline digital communication ) ambapo mpokeaji wa ujumbe wa michango na vikao si lazima awe na smartphone au internet kwenye simu yake.
• Kupitia Fabievents Wedding bulksms unaweza andika ujumbe wako kisha ukaweka settings kwamba uende mara ngapi kwa wiki.
• Ujumbe uende kwa wote au ambao hawajamaliza ahadi zao
• Uende group Fulani la wachangiaji kama vijana, wazee au wafanyakazi wenzangu pekee.
• Chaguo ni nyingi ndani ya Fabievents jinsi ya kutuma ujumbe wako
• Ujumbe ukienda unaenda na jina la mpokeaji automatic mwanzoni mwa ujumbe utakao andika
• Kama kuna watu ambao hutaki wapokee ujumbe wa michango na vikao ila taarifa zao lazima uwenazo kuna chaguo la kuzuia pia.
• Haijialishi mpokeaji anasimu gani ujumbe atapokea tu.

• Namba zinazopokea simu lazima ziwe za Tanzania tu
• Pia namba ya simu lazima iwe inapokea ujumbe wa kawaida na siyo whatsapp pekee.

MIFANO YA SMS ZA VIKAO NA MICHANGO
• Napenda kukutaarifu kuwa kikao cha maandalizi ya harusi ya Gatawyl kitafanyika tar 11.11.2018 pale Serena hotel muda ni saa 9 mchana.

• Harusi ya Bw. Gatawyl ni tarehe 11/8/2018 karibu ushiriki nasi kupitia mchango/ahadi 07xxxxxxxx/07xxxxxxxx NYARUBAMBA. ASANTE!.

• Ndugu, Gawawyl wa Moshi, anapenda kukutaarifu kuwa kikao cha maandalizi ya sendoff ya Neema kitafanyika Jumapili tarehe 02.09.2018 pale Club ya wazee Ilala muda ni saa kumi jioni. Punguza au malizia mchango wako kupitia mawasiliamo 07XXXXXXXX - Gatawyl.

• Zimebaki siku 25 tufunge zoezi la michango tarehe 20 Juni, na hivyo kusherehekea kwa pamoja harusi ya ndugu yetu Gatawyl. Tunaomba upunguze/ukamilishe ahadi yako kwa kupitia namba hizi 07XX XXXXXX, Gatawyl, Asante na Mungu akubariki.