• FabiEvents

    Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika mandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online.

    Kuanzia upangaji wa Bajeti, Michango, kukumbusha michango na vikao kwanjia ya bulksms, Kutafuta watoa huduma za sherehe.

    Jiunge sahivi
  • FabiEvents

    Your Event Solutions

    Karibu tukuhudumie online uweze fanikisha sherehe yako kirahisi zaidi

    Ingia ndani
  • tangazana/tafuta tukio

    Awards, Seminars, Trainings

Karibu FabiEvents

Ni mfumo ambao unatumika online na mtu yoyote anaweza kutumia akiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania. Andaa sherehe yako au tukio lolote kupitia FabiEvents.
Mfumo unasaidia katika mandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online. Mambo makubwa na mazuri utayapata ndani ya Fabievents.

Weddings

Weddings

Budget.
Pledge.
Notification.
Reports.
Bulksms.

Business Solutions

Business Solutions

Bulksms.
Text to speech.
Audio Stream.
Website design.
System design.

Voting system

Voting system

Voting Services.
Advertisement.

Seminars & Training

Seminars & Training

Seminars.
Trainings.
Registration form.
Email Marketing.

Mambo mazuri fabievents

Mtoa huduma za Sherehe karibu sana

FabiEvents ni sehemu sahihi kwangu mimi mtoa huduma za sherehe maana wateja wanapokuwa wanafanya mambo ya bajeti, michango kupitia hii website watakuwa na nafasi kubwa ya kuniangalia mimi na kuweza kunitafuta ama kunialika kwenye kikao cha kamati. Watoa huduma wote kama MC,kumbi, mapambo, keki, chakula, picha na video wote wanaruhusiwa kujitangaza free kabisa hakuna makato wala percent.

Bure kujisajili
Hutolipia kamwe
Share na jirani

Bulksms Services

Tuma ujumbe wako kirahisi zaidi na uwafikie watu wengi zaidi Tunatoa huduma tofauti tofauti za Bulksms kulingana na matumizi yako na lazima uwe na database wa watu wako. Fabievents inakupa platform tu.

Jisajili hapa
Weddings
Business
Promotions

Watoa huduma za sherehe

Unaweza kujiunga na Fabievents muda wowote na sehemu yoyote uliyopo ndani ya Tanzania, kupitia simu yako ama computer yako
Mtoa huduma za sherehe hakuna malipo kujitangaza ni free kabisa
Tunakukalibisha kuwa partner wetu ndani ya FabiEvents kupitia huduma yako sehemu yoyote ile uliyopo na logo yako itawekwa kwenye list ya partners

Waandaaji wa tuzo

Hapa ndo sehemu sahihi ambapo mshindi anapatikana kihalaki kuliko kutumia instagram.
John
60%
Anold
25%
Amani
20%
Gatawa
15%

Waandaaji ya semina na mafunzo

Kupitia FabiEvents unaweza post tangazo lako la semina ama mafunzo kisha wahusika wakajisajili na ukapata idadi ya waliojisajili na hata kutumiwa ujumbe fulani ama maelezo zaidi kwenye email zao ama namba za simu yao

Ushuhuda wa waliotumia

Need a Help ? Contact Us